Walimtumbua Ndugai baada ya kuwaambia ukweli. Sasa watamtumbua nani?

Ukimpongeza wewe inatosha acha kuweka wingi kwenye uchawa wako.
 
Nasimama na Ndugai kuhusu nchi kupigwa mnada sasa ndio tunalipa na tutanyooshwa wote waimba mapambio na sisi waitikiaji
 
Kichwa mfuniko wa shingo.

Tozo zimeanza kazi mwaka gani hadi zilete unafuu mapema hivi?
Kwani Hukusikia Jana takwimu juu ya mafanikio yaliyotokana na tozi? Vituo 234 vya Afya vimejengwa,
Ukimpongeza wewe inatosha acha kuweka wingi kwenye uchawa wako.
Mimi Ni muwakilishi tu wa watanzania wengi Sana nao shinda nao na kukutana nao na kuona namna mh Rais anavyokubalika huku mtaani
 
Kwani Hukusikia Jana takwimu juu ya mafanikio yaliyotokana na tozi? Vituo 234 vya Afya vimejengwa,

Mimi Ni muwakilishi tu wa watanzania wengi Sana nao shinda nao na kukutana nao na kuona namna mh Rais anavyokubalika huku mtaani
Uvico zilifanya nini?

Unawasikiliza walamba asali wale?

Press ya jana ni kama vile nchi sasa inajengwa na Tozo tu. Kila kitu kimefanywa na Tozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…