A
KWA KAWAIDA HIZO PESA SI HUWA MNAPEWA KILA MMOJA KUTOKANA NA SIFA ALIZONAZO, AU WALIOSINGO NA WALIO NA NDOA HUWA WANALIPWA PESA YA KUJIKIMU INAYOFANANA ?hivi karibuni tulilipwa TSh 250,000/= kila mmoja, bila kupewa maelezo ya wazi
Wanalipwa na hazina mkuu, siyo Halmashauri.Walimu ajira mpya Halmashauri zote nchini,wanaajiriwa na TAMISEMI cha kushangaza posho wanalipwa na Halmashauri husika!
Mbona hiki ni kituko? Kwanini wasilipwe na TAMISEMI?
Hela ya kujikimu inabidi ilipwe sawa kwa kila mtumishi mpya, kwa sababu wote wanaenda kuazisha maisha upya, lakini imekuwa tofauti kidogo kwa sasa wanalipwa kulingana na kiwango cha elimu yakeKWA KAWAIDA HIZO PESA SI HUWA MNAPEWA KILA MMOJA KUTOKANA NA SIFA ALIZONAZO, AU WALIOSINGO NA WALIO NA NDOA HUWA WANALIPWA PESA YA KUJIKIMU INAYOFANANA ?
Mimi nachojua mwenye ndoa na asiye na ndoa wanalipwa viwango tofauti kulingana mwongozo uliopo.Hela ya kujikimu inabidi ilipwe sawa kwa kila mtumishi mpya, kwa sababu wote wanaenda kuazisha maisha upya, lakini imekuwa tofauti kidogo kwa sasa wanalipwa kulingana na kiwango cha elimu yake
We unachanganya, hela ya uhamisho kutoka kituo A kwenda kituo B (Disturbancee allowance and Ground Transport), hii ndo hulipwa kulingana na ukubwa wa familia yako.Mimi nachojua mwenye ndoa na asiye na ndoa wanalipwa viwango tofauti kulingana mwongozo uliopo.
SawaWe unachanganya, hela ya uhamisho kutoka kituo A kwenda kituo B (Disturbancee allowance and Ground Transport), hii ndo hulipwa kulingana na ukubwa wa familia yako.
Hela ya kujikimu inabidi ilipwe kabla hata kazi haujaaza ili ikusaidie kuweka mazingira safi sehemu utakayoenda kufikia kwenye kituo chako kipya.
Wewe ni mpumbavuZingatia CV yako yakuombea kazi mwalimu. Hukueleza uwezo wako wakutatua changamoto na kuhandle pressure ukiwa kazini? Kama ulieleza, kuweka mambo ya kazini mitandaoni ni hatua ya ngapi baada ya zingine kushindikana?
Asante mwalimu. Akili na tabia yako nakuhakikishia hakuna darasa litaweza kuibadilisha isipokua dunia hii hii! Nakili pembeni huu ujumbe wanguWewe ni mpumbavu
Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu.
Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi karibuni tulilipwa TSh 250,000/= kila mmoja, bila kupewa maelezo ya wazi kuhusu hesabu ya malipo hayo na stahiki zetu zote.
Tunaomba TAMISEMI, TSC, Ofisi ya Rais–Utumishi na mamlaka nyingine husika kuingilia kati, kutupatia ufafanuzi wa maandishi kuhusu malipo hayo na kuhakikisha tunalipwa stahiki zetu zote kwa mujibu wa sheria na taratibu.
Tunaomba haki yetu, si upendeleo.