Vizuri sana, unaonaje tukazigawana ili namimi nionje utamu wa serikalini?Nilikuwa busy naomboleza nakuta mshahara umekutwa na mshahara😆
Hizo za kujikimu nimewaachia wale
Kama unakujakuja hivi,,,nipe locationVizuri sana, unaonaje tukazigawana ili namimi nionje utamu wa serikalini?
Location ya nini sasa, Unataka kunipa mkononi?Kama unakujakuja hivi,,,nipe location
Ndiy ili isikatweLocation ya nini sasa, Unataka kunipa mkononi?
Niwekee tu mimi sina makatoNdiy ili isikatwe
😆😆😆Niwekee tu mimi sina makato
Pm namba chap niruhusu muamalaNiwekee tu mimi sina makato
Safi! Hayo ndo mambo sasa!Pm namba chap niruhusu muamala