Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu.
Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida.
Ajabu ni kuwa hakuna lolote linalohusiana na motisha kwa walimu kimyaaa. Ongezeko hili la ufaulu linakuja kwa jasho kubwa la walimu ikiwemo kufanya kazi siku ya jumamosi na muda wa ziada (Hadi saa 12).
Lakini hata husikii, "Kwa Kila 'A' Kuna tshs. ..." Au "Kwa Kila daraja I Kuna tsh. ...".
Wenzetu Taifa Stars Kila siku ni ahadi za motisha mara Kila goli tshs. 5,000,000/= n.k. Jana ndo imetia fora; shilingi milioni 700 zimeshatolewa Huku akaunti ya kuchangia ikiwekwa wazi kwa Kila mmoja kuchangi
Mpaka Sasa si ajabu Kuna bilioni point something. Yaani wachezaji mpaka Sasa wana uhakika wa 50m Kila mmoja (pesa anayopata mwalimu anapostaafu kwa Sasa (kwa mujibu wa kikokotoo)).
WHYY?