Walimu, haswa wa vijijini, tutapewa lini motisha kwa kupandisha kiwango cha ufaulu? Mbona Taifa Stars wanamwagiwa mahela kila leo?

Si ndo nyie mlimchangia maza milioni moja ili achukue forn?
Huku na vyombo vya habari vikifanya airtime ya jambo hilo,kwa akili zao mbovu wakadhani ni sifa na mbuli,kumbe wanaonyesha ni namna gani walivyo wapumbavu.
 
Sijui walijua maza hana hiyo milioni😄. Anagawa mapesa huko😄😄
 
Back
Top Bottom