Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupinga, waraka ninao umesema walimu husika wapandishe, swala la kupanda madaraja liko kisheria, halihusiani na bajeti. Hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja, waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.Usidanganywe na mtu!!
Kwa Bajeti gani mkuu!!?iliyopitishwa na Bungee lipi!!?
Kama we ni mwalimu jikite kwenye vitega uchumi vyako usije ukawa disapointed kama ile asilimia 23 ya mchongo ile!!
Acha kupinga,waraka ninao umesema walimu husika wapandishe,swala la kupanda madaraja liko kisheria halihusiani na bajeti,hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja,waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.
Hakika mama anaupiga mwingi,kura za watumishi wote hasa walimu lazima azibebe zote.jpm kabana sana watu,mama ni mwingi wa huruma,Mungu amjalie heri na baraka tele
Sinmlisha panda mwezi wa tano!!?au!!!?2013 wasitusahau
😭😭😭😭Sinmlisha panda mwezi wa tano!!?au!!!?
Nasikia batch inakuwa moja yaani 2013,2014 na 2015 wote wtapanda kwa pamoja huko mbeleni baada ya miaka mitatu!!
Inaonekana unaumia sana,na pengine hujui utaratibu wa upandaji madarja,kwanini usikae kimya mkuuSubiri uojne shubiri tarehe za mshahara si ndio hizo hapo mbele subiri!
Upuuzi tu na umaskini wa walimu. Mtu miaka 9 au 8 kapanda daraja mara moja tu wakati alistahili kupanda daraja mara mbili.Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.
Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Walimu wengi ni wajinga sn wanaishi kwa matumaini muda woteUsidanganywe na mtu!!
Kwa Bajeti gani mkuu!!?iliyopitishwa na Bungee lipi!!?
Kama we ni mwalimu jikite kwenye vitega uchumi vyako usije ukawa disapointed kama ile asilimia 23 ya mchongo ile!!
Inaonekana unaumia sana,na pengine hujui utaratibu wa upandaji madarja,kwanini usikae kimya mkuu
Walimu hajawahi kuwa wajinga mkuu!Bali ubongo finyu wa wengi ndio wanashindwa kujua akili zao zinvyo operate!!Walimu wengi ni wajinga sn wanaishi kwa matumaini muda wote
Sio kwamba anapinga kama suala la kupanda madaraja lipo kisheria mlimfanya nini JIWE alipogoma kuwapandisha madaraja?Acha kupinga,waraka ninao umesema walimu husika wapandishe,swala la kupanda madaraja liko kisheria halihusiani na bajeti,hujui kuwa mwezi wa tano watu walipanda madaraja,waweza niambia ni bajeti gani ilitumika kuwapandisha watu hao.
Hakika mama anaupiga mwingi,kura za watumishi wote hasa walimu lazima azibebe zote.jpm kabana sana watu,mama ni mwingi wa huruma,Mungu amjalie heri na baraka tele
Tatizo sio umaskini na upuuzi wa walimu Bali ni dola iliamua KULINDA wanasiasa wanaovunja sheria na kukanyaga katiba !Upuuzi tu na umaskini wa walimu. Mtu miaka 9 au 8 kapanda daraja mara moja tu wakati alistahili kupanda daraja mara mbili.
Hapa sio jambo la kisiasa bali ni haki yao.
Sio kwamba anapinga kama suala la kupanda madaraja lipo kisheria mlimfanya nini JIWE alipogoma kuwapandisha madaraja?
Umenena vyema.Tatizo sio umaskini na upuuzi wa walimu Bali ni dola iliamua KULINDA wanasiasa wanaovunja sheria na kukanyaga katiba !
Hivyo mwalimu hawezi tafuta Bunduki apambane na dola Ili kumpindua kiongozi anaesigina haki zao,Bali ni dola ndio inajukumu la kuchukua hatua pale haki za watu zinapovunjwa kwa kumtoa kiongozi madarakani kivyovyote vile!
Tuna dola inayochekelea WANASIASA wanaovunja sheria na haki za watu,hatujui ni kwanini labda kama Kuna maslahi wanapata toka kwa viongozi hao waovu!!!
Mwalimu ailauiwe Kai yake ni kutoa ujinga kwa vijana na anafanya vyema tangu uhuru!!