Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

Mkuu kumbe ulishahama kikamilifu toka kwa JPM. Hata legacy nayo umeitupa! Nakumbuka combat la JPM kwenye profile yako. Sasa naona ni SSH tu. Interesting.
 
Mkuu kumbe ulishahama kikamilifu toka kwa JPM. Hata legacy nayo umeitupa! Nakumbuka combat la JPM kwenye profile yako. Sasa ni naona ni SSH tu. Interesting.
Mkuu Kwani jpm alikuwa chama gani na samia yuko chama gani!? Nijibu kwanza ndo tuanze mdahalo
 
Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM.

Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
Wanaita mserereko. Hii ni kwa wale waliopunjwa madaraja tu.
 
Halafu wanachoshindwa kuelewa hawa watu ni kua waliopanda mwaka huu ni bajeti iliyopita na waoenda kuoanda kuanzia December to January ni bajeti ya 2023/24
 
Eti nyie mlioajiriwa mwaka 2013 si mmepanda mwaka huu? Rubbish. Hao nao walidhulimiwa na awamu ya JPM maana bila hivyo mwaka huu (2023) wangepanda daraja mara ya 3 na siyo mara 2 waliyopanda mwaa huu.

So kama mseleleko wale wa mwaka 2013 nao wanastahili kupandishwa tena kwa mseleleko. Na nadhani hata wale wa nyuma yao nao wanastahili.
 
Je, huko kupanda kwa madaraja kunaambatana na ongezeko la mshahara??
 
Mtu amevaa ngwanda la SAMIA NA SAMIA anam refer km mama ake
 
Mtafuteni Makonda awasaidie.
 
Umeongea vizuri sana, upewe maua yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…