WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo sumbawanga vijijini (LAELA) nije iringa manispaa idara secondary 0759152000
 
Njoo TARIME MJINI niende Geita wilaya yotote. 0768074472 Idara sekondari
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje mkoa wa Mara nije mkoa wa mwanza
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje Mara nije Mwanza....idara ya msingi....kwa yeyote aliye tayari anipigie 0718548700
 
Njo kahama kama upo:-
Mbeya jiji
Rungwe
Iringa
Njombe
Idara ya secondary
Ni pm.
 
Back
Top Bottom