Ni pmMimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
NJOO PWANI WILAYA YA MAFIANjoo kilolo, iringa nije pwani popote au dsm
Njoo Mara wilaya ya Tarime nije arusha au Kilimanjaro