WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wadau Mimi ni Mwl wa shule ya Msingi Wilaya ya Tunduru ,natafuta Mwl wa kubadilishana kutoka wilaya ya Songea Manispaa ,Idara kama yangu (shule ya Msingi) ,yeyote anayehitaji tuwasiliane kupitia no 0687535650
 
Back
Top Bottom