Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
Hapo utasubiri sana tafuta njia nyingine ya kuhama ila sio kubasilishanaKwa hilo la kubadilishana hizo sehemu nakubaliana na wewe kuwa litakuwa gumu kama kuyataka maji yapande mlima. Ila huwezi kujua anaweza akatokea atakayependa kuishi Tukuyu.
njoo mafia mkoa wa pwaniMchaga na Mpare njoo Moshi mimi nije Dodoma Manispaa, Kibaha au Dar!!!
Aje mahenge-MorogoroKuna mtu kapangiwa kata ya Kivukoni jijini Dar es salaam, yeye hataki anataka kwenda kijijini hasa mikoa ya Iringa kama upo interested like hii post.
Niko tabora kaliua NATAFUTA wa kubadilishana nae aje kaliua me nije biharamlo kagera au Geita au chato. Idara ya msingiWewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Njoo kyerwaNiko tabora kaliua NATAFUTA wa kubadilishana nae aje kaliua me nije biharamlo kagera au Geita au chato. Idara ya msingi