WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
duuh post .post na ww!aah acha niende zangu Korogwe tu maana nshajichokea,,daily matangazo ni yaleyalee!!Hopefully ntapata watu wa Arusha kuja Tanga,,Mchakato utaenda sawa...maana huu mkoaa wa Singapo laana hata Wazawa hawautaki!!
 
Njoo SONGEA nije IRINGA/MBEYA/MOROGORO
Idara-Sekondari
Simu-0788325376
-0766154595
 
1.Njoo Ngara - kagera Nije Arusha,Kilimanjaro wilaya yoyote secondary!

2.Njoo Ngara - kagera Nije Morogoro ,Pwani ,au Tanga wilaya yoyote sekondari!

3.Njoo Ngara - kagera Nije Iringa, Mbeya au Songea wilaya yoyote sekondari!

Mawasiliano
0712272365/0758165769
 
Kwa hilo la kubadilishana hizo sehemu nakubaliana na wewe kuwa litakuwa gumu kama kuyataka maji yapande mlima. Ila huwezi kujua anaweza akatokea atakayependa kuishi Tukuyu.
Hapo utasubiri sana tafuta njia nyingine ya kuhama ila sio kubasilishana
 
Mimi mwl. wa sekondari nafundisha Kwiro sec-Mahenge /Ulanga nataka kwenda morogoro manispaa aliye tayari nipm.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Niko tabora kaliua NATAFUTA wa kubadilishana nae aje kaliua me nije biharamlo kagera au Geita au chato. Idara ya msingi
 
No zangu 0782753608UOTE="snboy, post: 16263095, member: 219002"]Niko tabora kaliua NATAFUTA wa kubadilishana nae aje kaliua me nije biharamlo kagera au Geita au chato. Idara ya msingi[/QUOTE]
No
 
Kaliua utaweza kuja ="neto mwakyoma, post: 6128994, member: 135074"]Mwalimu anayetaka kufanya kazi wilaya ya NGARA-KAGERA kutoka mikoa ya MBEYA, IRINGA NA RUKWA tuwasiliane kwa namba 0682971333[/QUOTE]
Kaliua
 
Njoo Tanga jiji nije morogoro manispaa idara sekondari (0715429847)

Sent from my TECNO P9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom