Mwalimu Minda Charles nipo mkoa wa Geita halmashauri ya wilaya ya Geita natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje Geita mm niende Misungwi au Ramadi
 
Naitwa Mwalimu Minda Charles nipo mkoa wa Geita halmashauri ya Wilaya ya Geita, elimu sekondari natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aliyepo kati ya maeneo yafuatayo:- Misungwi, Ramadi, au Sehemu yeyote ndani ya mkoa wa Mwanza. Aliyetayari tafadhari tuwasiliane 0753939478. Mm nipo sekondari
 
Nipo mkoa wa Geita wilaya ya Geita natafuta Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye aje Geita mim niende kati ya maeneo yafuatayo:- Ramadi, Bunda, au sehemu yeyote ndan ya mkoa wa Mwanza
 
Njoo mbinga mbinguni nije mbeya( V)(M) songwe,mbozi, ileje,umalila, tukuyu, rujewa, chimala, makambako, idara secondary 0754015241
 
Ile Special Thread Kwa Walimu Mkuu Invisible Aliifuta ?
 
 
Njoo singida vijijin nije rombo au moshi vijijin au mosh mjin idara sekondari , 0757409740
 
Njoo Moshi nije Dar wilaya yyte au Bumbuli Tanga idara ya sekondari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…