Joli Chichi Ismael Hassan
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 225
- 8
Njoo Misungwi Mwannza
Nije Dar
Idara Msingi
#_0717871733
Nije Dar
Idara Msingi
#_0717871733
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
June 15Hivi mwisho wa kutuma maombi tamisemi ni lini
njoo mwanga kilimanjaronjoo Arusha karatu nije bagamoyo au dar es salaam contact 0719155681
Secondary mkuuIdara muhimu kuitaja bhana!
Please mwalimu njoo lindi liwale karibu na mtwara nije iringaUpo idara gani njoo iringa - kilolo nije hapo mtwara mjini idara secondary 0759053837
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Njoo singida vijijin nije rombo au moshi vijijin au mosh mjin idara sekondari , 0757409740Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Ndo wapinjoo peramiho nije songea municipal-secondary