WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo somanga nije mkuranga au vikindu kama utahitaji pesa kidogo kwa ajili ya kubebea mizigo tunaongea!!
 
Jamany watu wangu wa nguvu naitwa mwalimu Mahamba nipo manispaa ya Tabora idara sekondari ,natafuta MTU wa kubadilishana naye mm nije busokelo na yy aje tabora,naomba kama kuna MTU unamjua nifikishieni ujumbe huu mwanajamiiforum.
Upo itetemia nn Mkuu?au kalunde?
 
Anaetaka kwenda Shinyanga Manispaa kutoka wilaya za mkoa wa Arusha tuwasiliane PM
Idara Sekondari
 
Jamani walimu wenzangu nani anafundisha somo la life skills secondary?
 
NJOO (Kilindi)TANGA NIJE BUSEGA,BARIADI,CHATO,MAGU,MISUNGWI,au KWIMBA.Idara sec,no:0683067511/0769325378
 
kuna mwalimu yuko Tabora sikonge anahitaji kwenda Iringa au morogoro wilaya yoyote ile. tuwasiliane kwa namba 0764125128. sababu huko ndiko amewekeza zaidi hivyo anahitaji kuwa karibu na shughuli zingne.
mliopo dodoma tupeni update nasikia majina tayari ila yamebandikwa kwenye ubao wa matangazo. bado kwenye website.
 
Back
Top Bottom