MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Nimekuja pm hukurespondNipm namba yako nikucheki
Rungwe ni wilaya iliyobarikiwa kwa kila kituuu, greeeen rungweeeeeeeeKwanini unapataka Rungwe??
Umetitia km 90 au Upo ulyankulu au itakuwa igagala #5Njoo Tabora Kaliua nije ulipo kama nitaridhika napo.
Idara sec
Upo itetemia nn Mkuu?au kalunde?Jamany watu wangu wa nguvu naitwa mwalimu Mahamba nipo manispaa ya Tabora idara sekondari ,natafuta MTU wa kubadilishana naye mm nije busokelo na yy aje tabora,naomba kama kuna MTU unamjua nifikishieni ujumbe huu mwanajamiiforum.
Mtwara sehemu gani upoNjoo mtwara nije mikoa ifuatayo wilaya yeyote..
Mbeya
Iringa
Njombe
Songwe
Idara secondary.. 0768505950 na 0656121703
Njoo kilolo mi nije hapo temekeAu nije Iringa mjini ye aje temeke idara sec
Iringa mjini ingekua poaNjoo kilolo mi nije hapo temeke
Idara ganNJOO wilaya ya HAI NIJE mbeya/SONGWE
Secondary mkuu,Id
Idara gan