WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Siombaya kwa wewe wa idara ya msingi unae taka kuja Lindi ili nije Tanga wilaya yoyote kunitafuta kwa cm no 0654687529.
 
Njoo Isaka Secondary' Halmashauri ya Msalala-Kahama(Shinyanga) nije Moshi-kilimanjaro: idara sekondari:0758615862
 
Njoo Isaka Secondary' Halmashauri ya Msalala-Kahama(Shinyanga) nije Moshi-kilimanjaro: idara sekondari:0758615862
 
Njoo sumbawanga nije DAR ES SALAAM, MOROGORO AU PWANI,!0752279711

Njoo songea nije dar es salaa, pwani au morogoro 0717945518
 
Njoo lindi liwale,nikuje kanda ya ziwa,iringa,njombe na mbeya wilaya yoyote.
 
Back
Top Bottom