WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Naombeni msaada nimetafuta mwalimu wa kubadilishana naye imeshindikana
sasa naombeni anaye jua shule yeyote y private inayohitaji mwalimu wa

mathematics na IT
anifahamishe jamani


0764125128/0676102827
 
Njoo kagera wilaya ya kyerwa nije Tabora wilaya yoyote ,meatu,Kwimba idara ya msingi simu no 0784623573
 
NJOO (Kilindi) TANGA MIMI NIJE BUSEGA, BARIADI,MAGU,CHATO,MISUNGWI,au KWIMBA.Idara Sec,No:0683067511/0769325378
 
Back
Top Bottom