Geita shule gani?Njoo geita nije tanga wilaya yoyote
Ahaaa!!!! Karibu na nyachiluluma sec eee..... Me nipo idara ya sec, labda nichukue no kwa mawacliano mengne..........Kama upo tayar tuwasiliane 0654884988
njoo arusha karatu mimi nije pwani
nyie vipiiii? Uhamisho umepigwa ban.Njoo Tabora - Uyui,
Nije Katavi Wilaya yoyote ile,
+255786-145922
+255767-145922
Walimu mnajidhalilisha nyinyi mamaaaaake,kuna manesi wanadai hiyo kitu au kada nyingine mmeshaziona ziki haha ivo,CWT inawakata pesa inawaacha mnahaha tuu,mchawi wa Mwl ni mwl ,vumilieninyie vipiiii? Uhamisho umepigwa ban.