x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 931
- 612
asilimia kubwa ya walimu wametoka familia zetu za ufukara,maskini wengi hatujiamini serikali nayo aijasawazisha ubora wa maisha ya mwl .wa mjini na wakijijini isipo kuwa wote mshahara mmoja kulingana na daraja.Maisha ya mwl.wakijijini ni magumu mshahara wake unaanzakupungua kwenye gharama za kuufata mshahara,huduma muhimu anapata kwa gharama ya juu kuliko mwl wa mjini,walimu wachache unakuta kwa siku kwenye ratiba ya vipindi yupo kipindi cha kwanza hadi cha mwisho wakati mwl wa town kwa siku vpnd viwili tu pia wakuu wao wa shule ni mastressers wapenda sifa .Otaona kwamba mwl.anaangalia sehemu ambayo itamrahisishia maisha ndio maana matangazo ya kubadilishana hayaishi.