WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo Halmashauri ya Geita nije moja kati ya mikoa/wilaya zifuatazo;
Dodoma Municipal
Morogoro Municipal
Kibaha
Bagamoyo
Korogwe Mji/DC
Tanga Jiji
Dar es Salaam.
Idara-Sekondari.
Mawasiliano: 0788560737
 
Jamaa hawez kukupa namba za madam Grace kwani hata yeye ni demu wake msela hawez kutoa namba
Atoe asaidiwe, maana kuna mwalimu halmashauli ya Simanjiro hapa anataka kurudi kwao ukuryani huko Bunda.
 
Njoo ulanga -Mahenge nije hapo ulipo,, Elimu sekondari,, Iwe Mbeya, Ifakara, Iringa, Tanga, Arusha, 0787914799
 
NJOO SHINYANGA MJINI NIJE IRINGA,MBEYA,DODOMA,SINGIDA IDARA NI SEKONDARI NAMBA YA SIMU NI 0716-47-36-28
 
Mimi ni Mwalimu kutoka halmashauri mji wa makambako nataka kuhamia kwenda Mbeya wilaya za rungwe, au mbeya vijijini,


Au mkoa wa songwe wilaya ya mbozi na songwe

Mimi ni Mwalimu wa secondary

Kwa yoyote anaye taka kuja makambako iliyopo njombe anipigie simu no
0769255209. Au 0766799888
 
Mimi ni Mwalimu kutoka halmashauri ya mji wa makambako nataka kuhamia mbeya rungwe, mbozi au Tukuyu, au songwe.

Idara ya secondary anaye taka kubadilishana anitafute kwa 0769255209
 
Kama utakuwa katavi, au rukwa pia waweza nitafuta ili wewe uje makambako njombe mimi nije huko 0769255209. Idara ya sec
 
Back
Top Bottom