Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idara ya msingiNjoo nachingwea nije mkuranga,rufiji
0719697054
Nilishafanikiwa, nimebadilishana na mwalimu wa Mbarali piaNipo Mbarali nipo tayari ,kama upo serious tubadirishane no.yangu ni 0759434212
Mmefanikiwa kubadilishana katika awamu hii ya Sizonje?Nilishafanikiwa, nimebadilishana na mwalimu wa Mbarali pia
njoo ludewa aje mtwara mjini idara ya sec
Tatizo linakwama TAMESEMIMbona Mimi nimeulizia halmashauri kwangu wameniambia Uhamisho wa kubadilishana upo kama kawaida ila ule wa mkato yaan kutumia hela ,cheti cha ndoa hakuna kwa sasa
Taarifa zako hazija kamilika mkuu weka mawasiliano yako watu wakutafuteMimi ni mwl secondary nipo halmashauri ya mji wa Njombe nataka nihamie mkoani Mwanza.
Nani kakwambia achaneni na taarifa za vichochoroni na barua za kughushi hizo ,uhamisho upo kama kawaida kuna taratibu za kiutumishi zikikamilika mtapata majibuUhamisho si umefutwa jamani
Hii ndiyo niniiiiiii0658 58 06 06