Mimi ni mwalim wa shule ya sekondari wilayani Malinyi mkoani morogoro nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kituo alie TABORA AU SINGIDA

Tuwasiliane 0719051265
 
NJOO MOROGORO NIJE SINGIDA,TABORA,DODOMA
IDARA YA SEKONDARI

SIMU 0719051265
 
Njoo manyoni singida nine wilaya ya siha Kilimanjaro.
0753674598/0784127752
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
Njoo Tanga jiji nije moro manispaa, kibaha,chalinze,mlandizi au dar
Idara sec.0713142568
 
njoo RUNGWE-KIWIRA nije MBEYA JIJI au Mbeya vijijini-idara sekondari! kama unahitaj njoo PM
 
MWAj, ni kweli kwa hayo unayoyasema lakini mama kumpata mtu wa kutoka DAR hadi TUKUYU kweeli hiyo nikazi nyingine ya ziada! Mkuu sikukatishi tamaa lakini hata ukilala makaburini kwa mwezi mzima itakuwa ngumu hiyo.
Sio kwl wapo walimu kibao wanahama kutoka dar kwenda mikoani tu acheni kukatishana tamaa
 
mkuu sjakupata fresh unamaanisha barua za vibali zilishatumwa kwenye halmashauri husika?????????????? nijuze mkuu
Barua za kusitishwa kwa uhamishwaji wa wafanyakazi zimefika kila wilaya kwamba taarifa iwafikie watumishi kwamba kwa sasa serikali haifanyi huo mchakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…