WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo KIOMBOI kata ya ulemo IRAMBA SINGIDA mimi nije MBARALI MBEYA 0762078708 idara ya sekondari
 
Hivi wapo walimu Wanaopenda kuhamia Tarime mjini? Hasa kutoka mkoa wa Mbeya wilaya yoyote. Lengo ni kuifuata familia.
 
Njoo MANISPAA ya Kigoma Ujiji Mimi niende kumlinda Mke na wazazi wangu halimshauri ya wilaya ya Ubungo
 
Mimi Mwalimu wa Kigoma manispaa natafuta mwalimu wa kubadilishana naye nafundisha GEOGRAPHY na HISTORY awe anatoka maeneo yafuatayo:-
-IRINGA MANISPAA
-KYELA
-MASASI
-MOROGORO MJINI
Tuwasiliane
0762063830
0656664620
 
Mimi Mwalimu wa Kigoma manispaa natafuta mwalimu wa kubadilishana naye nafundisha GEOGRAPHY na HISTORY awe anatoka maeneo yafuatayo:-
-IRINGA MANISPAA
-KYELA
-MASASI
-MOROGORO MJINI
Tuwasiliane
0762063830
0656664620
 
Jisajili kwenye watumishi portal utapata wa kubadilishana nae huko. Nenda kwenye website ya ofisi ya rais utumishi then utakutana na hyo kitu. But kwa sasa pia km alivyosema mdau hapo uhamisho umesitishwa.
 
Back
Top Bottom