WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwl Primary:
Mimi natoka Ngara kwenda Dsm, nahitaji kubadirishana na anayetaka kuhamia Ngara akitokea Dsm wilaya yoyote.
 
Mwalimu idara ya msingi nipo Wilaya ya meru mkoa wa Arusha naomba kubadilshana na mwalimu aliye Wilaya za Iringa yaani Kilolo, Mufindi, Manispaa na Iringa vijijini.kwamawasiliano zaidi piga namba 0755543978
Me nipo mbeya shule ipo mjin uwez kuhamia c nikaribu na iringa, me natak kuhamia arusha
 
NINA MKE WANGU ANATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA NAE YEYE ANAFUNDISHA RUVUMA- NAMTUMBO SHULE YA MSINGI ANATAKA KUJA MKOA WA NJOMBE (WILAYA YA WANGING'OMBE).ANA MIAKA ZAIDI YA MINNE KAZINI.
 
Njoo mbozi nije Kilimanjaro tanga arusha babati

Idara msingi
 
Back
Top Bottom