Uhamisho umesimamishwa hadi wakurugenzi wameambiwa wasipitishe barua za watumishi,
Sasa haya matangazo ina maana hamjasikia? Labda kwa mipango ya baadae wakitangaza tena
Ngoja tuweke tuu matangazo mapema kiongozi ila watu wanahama Njoo Halmashauri ya Busokelo(Tukuyu) Wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya Yeye Aende Mbozi mkoani Songwe au wilaya yyte mkoa wa Songwe Elimu Sekondari 0754414648 au 0624066656
 
OYA TUBADILISHANE KITUO CHA KAZI, MI NIJE SONGEA H/ MASHAURI YA WILAYA, NA WEWE UJE BARIADI HALMASHAURI YA WILAYA. UKIWA TAYARI WEWE AU YEYOTE UNAYEMFAHAMU NA ANAHITAJI KUFANYA HIYO EXCHANGE BASI NI PM TU.
 
KWA MWL WA MSINGI; TUBADILISHANE KITUO CHA KAZI, NJOO BARIADI H/ WILAYA MI NIJE MOROGORO HALMASHAURI YOYOTE. KAMA UPO TAYARI WEWE AU YEYOTE UNAYEMFAHAMU ANAHITAJI KUFANYA HIVYO, TUWASILIANE KUPITIA (PM).
 
NJOO SINGIDA- IRAMBA-KIOMBOI MJINI IDARA YA SEKONDARI MIMI NIJE MBARALI MBEYA 0762078708
 
Njoo Busokelo Mbeya nije Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida, Dodoma, Pwani au Tanga idara Msingi
0763159643
0714672843
0629757133
 
Wajameni kama kuna mwalimu Amesoma diploma ya special needs au Anasoma Naomba mawasiliano nae tafadhar..nitumie dm au hapa hapa..Tafadhar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…