WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Yeye aje kahama mji mimi nije dar es saalam wilaya yoyote kama uko serious nichek my contact 0719 939078 au 0742 765690
Uhamisho umesimamishwa hadi wakurugenzi wameambiwa wasipitishe barua za watumishi,
Sasa haya matangazo ina maana hamjasikia? Labda kwa mipango ya baadae wakitangaza tena
 
Uhamisho umesimamishwa hadi wakurugenzi wameambiwa wasipitishe barua za watumishi,
Sasa haya matangazo ina maana hamjasikia? Labda kwa mipango ya baadae wakitangaza tena
Hahahahaha haha itakuwa awajasikia
 
Mimi ni mwalimu niko halimashauri ya wilaya ya Igunga-Tabora ninahitaji mwalimu idara ya elimu MSINGI wa kubadilishana nae ambaye yuko Arusha DC, Meru DC au Arusha jiji- Mkoa wa Arusha hata Monduli sio mbaya! naomba tuwasiliane kwa no. 0753 467 045 au 0686 008 950 ili tuanze hatua za awali za uhamisho!
 
TUBADILISHANE VITUO VYA KAZI NIJE MBEYA JIJI AU RUNGWE UJE SUMBAWANGA MANISPAA(IDARA YA SEKONDARI)
.0755018898.
 
Utaratibu uliowekwa na serikali kwenye kuhamisha walimu ni kwa kutumia njia ya kubadilishana vituo vya kazi mkoa-mkoa, wilaya-wilaya, Kama wewe ni mwalimu au una ndugu Mwalimu anaehitaji kuhama karibu kwenye hii thread yetu.
 
Mi niko Halmashauri ya Meru-Arusha natufuta wa kubadilishana nae mim niende Singida Manispaa au Dodoma .
Tuwasilie kwa 0752242020
 
Back
Top Bottom