Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda lushoto aje handeni au korogwe
0744115504
0719624288
Yeye aje kahama mji mimi nije dar es saalam wilaya yoyote kama uko serious nichek my contact 0719 939078 au 0742 765690
Uhamisho umesimamishwa hadi wakurugenzi wameambiwa wasipitishe barua za watumishi,Yeye aje kahama mji mimi nije dar es saalam wilaya yoyote kama uko serious nichek my contact 0719 939078 au 0742 765690
Hahahahaha haha itakuwa awajasikiaUhamisho umesimamishwa hadi wakurugenzi wameambiwa wasipitishe barua za watumishi,
Sasa haya matangazo ina maana hamjasikia? Labda kwa mipango ya baadae wakitangaza tena
Hahahahaha haha itakuwa awajasikia
Ndo ivyo yanihivi kuhamishana bado kupo kweli?au tunatafutana mapema ili milango ikifunguliwa tusihangaike?
Hongera sana kwa kuwa kwenye huo wito na uutumike kweli sio nusu nusu!Blaza, ungesomea Upadri raha sana...
Kwenye Upadri hakuna haja ya kubadilishana kituo cha kazi... Mie mwaka wa 17 huu nahudumu kanisa moja...
Hutaki Simiyu?kuna mtu yupo Simiyu anataka kuja Meru idara secondary.Mi niko Halmashauri ya Meru-Arusha natufuta wa kubadilishana nae mim niende Singida Manispaa au Dodoma .
Tuwasilie kwa 0752242020
Ok.ukipata mtu anayetaka huku nambieHuko napajua sitaki but niko idara ya secondary