WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Njoo singida vijijin nije wilaya ya Meru idara sekondari. 0757409740 au 0684 274 398
 
Njoo halmashaur ya msalala(kahama) -shinyanga nije Moshi vijjin,Moshi municipal,Hai,Arusha,Tanga,Bagamoyo,Dsm: nipo Isaka secondary: 0654495591,0758615862
 
Nko newala mji (mtwara )
Nahtaj mtu wa mkoa wa Ruvuma
Morogoro
Mbeya
Mwanza
Bukoba
N.k

Yaan sitak kusini ,pwani na tanga arusha ndio siitak

Msingi idara

0652810180
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote idara secondary 0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Mwanza
Geita
Wilaya yoyote idara secondary 0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote idara secondary 0712272365
 
Back
Top Bottom