WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni mwalimu Secondary, nahitaji tubadilishane kituo Mimi nije Mkoa wa Shinyanga wilaya yoyote wewe uje Mwanza, Nicheki 0753-239173
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365
 
Mimi nipo Ilala DSM shule ya sekondari Mvuti.
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae kituo aliyeko Wilaya ya Ilemela Mwanza. Nyaraka zote husika ninazo kwa Mwenye kuhitaji kutoka Ilemela Mwanza kuja Ilala DSM ani PM mapema.
njoo Moshi kisha ntakupa mtu wa kubadilishana naye kwenda nyamagana Mwanza call me 0621068486
 
Habari wana jamvi
Kwa yeyote ambae anataka kutoka dar kwenda mbeya tuwasiliane mana mi nimepangiwa mbozi nataka kwenda dar es salaam sasa kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane inbox
 
Mwanangu mbona hujui kujieleza?

Unazungumzia kada ipi,afya,ualimu ,kilimo etc?

Ni idara gani?
 
Back
Top Bottom