Njoo kilombero.0713142568njoo mpwapwa Dodoma nije morogoro idara sekondari
Sor naomba uulizie hapo moro town mwalimu anayetaka kuja tanga jiji.aec0713142568Napita Tu...karibuni Moro town
Mkuu nimeku PM nichek tuwasiliane chapnitaftie anaetaka kuja shinyanga mjib
njoo Moshi kisha ntakupa mtu wa kubadilishana naye kwenda nyamagana Mwanza call me 0621068486Mimi nipo Ilala DSM shule ya sekondari Mvuti.
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae kituo aliyeko Wilaya ya Ilemela Mwanza. Nyaraka zote husika ninazo kwa Mwenye kuhitaji kutoka Ilemela Mwanza kuja Ilala DSM ani PM mapema.