Swanga unataka kubadilishana na mtu wa wapi?Njoo swanga manispaa
Njoo kibondo mjini SEC. nije Tabora Dodoma Pwani 0717764554
Njoo MUSOMA manispaa nije Dodoma manispaa
hii inafanyaje kazi mbona kama siielewi??Habari wanaJF, nimebadilisha system kutoka kwenye chenjifasta.nahitaji.com na kwenda kwenye chenjifasta.com . Kwa sasa system inapatiana kwenye chenjifasta.com na sio tena chenjifasta.nahitaji.com.
Pia walimu na wauguzi(nurse) wanaweza kubadilishana vituo vya kazi kupitia kwenye mfumo huu wa chenjifasta.com.
Samahani kwa usumbufu utakao jitokeza.
Asanten na karibuni wote..
hii inafanyaje kazi mbona kama siielewi??