WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Njoo kalambo rukwa nije iringa (m) mbeya jiji mfindi makambako mafinga kilolo rungwe mbozi au mombo idara msingi cont 0767024951
 
Njooo Mbinga nije ileje,umalila ,mbozi, mbalizi, chimala , ilembo, njelenje, mshewe, secondary
 
njoo Rungwe-kiwira,nije mbeya jiji,mbeya vijijini,idara sekondari-0762815309
 
Habari wanaJF, nimebadilisha system kutoka kwenye chenjifasta.nahitaji.com na kwenda kwenye chenjifasta.com . Kwa sasa system inapatiana kwenye chenjifasta.com na sio tena chenjifasta.nahitaji.com.

Pia walimu na wauguzi(nurse) wanaweza kubadilishana vituo vya kazi kupitia kwenye mfumo huu wa chenjifasta.com.

Samahani kwa usumbufu utakao jitokeza.

Asanten na karibuni wote..
hii inafanyaje kazi mbona kama siielewi??
 
Nipo nyamagana jiji la mwanza.Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kaz yeye aje jiji la mwanza nami nije dar.Idara msingi.
 
Back
Top Bottom