WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwl.idara ya msingi nahitaji mwl was kubadilishana kituo cha kazi, nahitaji kutoka rorya kwenda TARIME. 0789 14 5544
 
Njoo wilaya ya Iringa vijini nije Wilaya ya NKASI RUKWA.. Idara sekondari
 
Yoyote anayetaka kurudi kagera(bukoba) elimu ya sekondari kutoka mkoa wa Mbeya,Iringa,Morogoro,Pwani and Dar es salaam tuwasiliane...
 
Namaanisha hv wanafanyia process.... Kwan toka mwaka jana July and Dec tamisemi.go.tz wapo kimya kabisa. Pia hamna tamko lolote lilitolewa juu ya hilo. Je tunaendelea tu au?
Mkuu maswala ya uhakiki ndo yalikuwa yamezuia kwa mda,now yashaisha so mda c mrefu wataruhusu uhamisho..hata hivyo ni vizuri mtu kama mtu kuendelea kutafuta mtu wa kubadilishana kituo ili wakiruhusu tu inakuwa rahisi kuanza mchakato
 
NjooNgara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani
Wilaya yoyote sekondari! 0712272365/0758165769
 
Back
Top Bottom