jayden nassif
Member
- Apr 7, 2017
- 38
- 18
Njoo Tabora - Uyui;
Nije Katavi idara ya Msingi,
+255767-145922
+255786-145922
Njoo Busokelo aende Mbozi,au Mbalali au mbeya vijijini
Mkuu vipi unaweza kuja bukoba dc...c mbali na kyerwaNjoo dar nije kyerwa kagera
Mkuu unataka kuja bukoba??Je bukoba
Njoo Kinondoni nije Ngara.. Nauli posho na sofa uniandalie
Upo seriouz mkuu...njoo bukoba dc hapa sio mbali??Njoo Kinondoni nije Ngara.. Nauli posho na sofa uniandalie
Mkuu unaulizia kupoje kivipi...yaani umefocus aspect ipi??Hiv huko tamisemi kupoje wadau?
Mkuu maswala ya uhakiki ndo yalikuwa yamezuia kwa mda,now yashaisha so mda c mrefu wataruhusu uhamisho..hata hivyo ni vizuri mtu kama mtu kuendelea kutafuta mtu wa kubadilishana kituo ili wakiruhusu tu inakuwa rahisi kuanza mchakatoNamaanisha hv wanafanyia process.... Kwan toka mwaka jana July and Dec tamisemi.go.tz wapo kimya kabisa. Pia hamna tamko lolote lilitolewa juu ya hilo. Je tunaendelea tu au?