mm ni mwalim idara ya sekondari nipo shinyanga nataka kubadilishana na mwalimu aliepo morogoro au dar es salaam kama yupo ani tumie private message hapa
 
mm ni mwalimu sekondari nafundisha mathematics nipo shinyanga nataka kubadilishana kituo na mwalimu aliepo mkoa wa morogoro au dar es salaam sababu kuu ni kuwa karibu na ndugu zangu
 
Labda ingekuwa vice versa hapo ingekuwa poa lakini eti from Dar to Tukuyu du hata kama ni mwanamke atalazimisha kumshauri mume wake ahamie Dar. Dar ni kila kitu ndugu yangu asikuambie mtu

kweli hii kali kutoka dar kwenda tukuyu haiwezekani hata siku moja nikama kusema jua litoke angani lije duniani na ardthi iende angani
 
mm ni mwalimu sekondari nipo shinyanga nataka kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu aliepo morogoro au dar es salaam sababu ya msingi niwe karibu na ndugu.

sifa za shule ninayotoka ina nyumba za walimu, umeme na wifi ya bure. kama kuna anayetaka hata kuja kuthibitisha namkaribisha nitafurahi nikimpata wa kubadilishana ni pm
 
shinyanga hautaki school ipo vizuri umeme wifi etc
Mkuu Kibaha,Dar Na Shinyanga wapi Na wapi? Hatuhami kwa vile shule ni mbaya au Nzuri tunahama kwa vile kuna sababu za kifamilia.Kama shule yako ni Nzuri si we ubaki hapohapo uenjoy umeme Na wifi
 
Reactions: y-n
Njoo sengerema mwanza nije morogoro manispaa, kilombero, moro vijijin, arusha jiji au Dc, Moshi manispaa au Dc. idara ya sekondary 0713041004
 
Njoo Missenyi Kagera nije tarime au musoma idara ya sekondari. Akipatikana mwalimu wa sayansi itakuwa bora zaidi
 
Nipo Tabora Sikonge,shule haipo mbali sana na Sikonge mjini.Nataka kwenda Lushoto,Kyela,Korogwe au Tanga jiji,idara sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…