Didas Kumbakumba
Senior Member
- Oct 24, 2015
- 148
- 24
Njoo Tabora - Uyui;
Nije Katavi idara ya Msingi,
+255767-145922
+255786-145922
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Tabora - Uyui;
Nije Katavi idara ya Msingi,
+255767-145922
+255786-145922
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Labda ingekuwa vice versa hapo ingekuwa poa lakini eti from Dar to Tukuyu du hata kama ni mwanamke atalazimisha kumshauri mume wake ahamie Dar. Dar ni kila kitu ndugu yangu asikuambie mtu
Anayetaka kuja morogoro manispaa mi niende kibaha mji,nafundisha sekondari
Mkuu Kibaha,Dar Na Shinyanga wapi Na wapi? Hatuhami kwa vile shule ni mbaya au Nzuri tunahama kwa vile kuna sababu za kifamilia.Kama shule yako ni Nzuri si we ubaki hapohapo uenjoy umeme Na wifishinyanga hautaki school ipo vizuri umeme wifi etc
Njoo Missenyi Kagerakuna ndugu yangu anatafuta mwalimu wa kubadilisha nae yuko Tarime DC , anataka kwenda Geita DC, Kahama au Geita mji. Ukitaka namba zake za simu ni pm.