Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Okay ahsante kwa taarifaKuna ambao zinabadilika na wengine, kinachobadilika ni TSC badala ya TSD.
Fresh, karbuOkay ahsante kwa taarifa
We upo hapo monduli tu unataka kuhama kwenda kilimanjaroMimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.
Masumbwe mbogwe vipi ...Njoo mbeya mi nije mwanza, geita au kahama.