WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Nina miaka 9 kazini, nina tsd no, nimedhibitishwa kazini, nipo kagera, karagwe, nataka mtu wa kubadli nae kituo cha kazi singida manispaa, anaetaka kuhamia karagwe mjini, kagera.
 
Mhhhh ndugu suala la uhamisho mbona kwa sasa limekuwa gumu sana kiasi cha kwamba hata watu wakubadilishana nao ni shidaaaa sana
 
Mwalimu idara msingi nipo BUMBULI-TANGA zamani LUSHOTO natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka Halmashauri ya GAIRO aliyetayari tuwasiliane
0624026681 au 0767007916
 
Back
Top Bottom