Mwalimu idara msingi nipo BUMBULI-TANGA zamani LUSHOTO natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka Halmashauri ya GAIRO aliyetayari tuwasiliane
0624026681 au 0767007916
Kumbe wewe ni mwl shekhe?
 
Njoo Muleba- Kagera nije Songea au Mbinga- Ruvuma idara Sekondari 0719716166
 
Jamani habarini,,
HV hakuna walimu wasukuma???? Njooni mlime pamba yenu imenishinda nirudi kwetu mtwara nilime korosho
 
Habari...
HV hakuna walimu wasukuma????
Njooni SIMIYU-Itilima mlime pamba yenu nirudi mtwara nilime korosho na Mimi..
Idara sec
0785294160
 
Jamani habarini,,
HV hakuna walimu wasukuma???? Njooni mlime pamba yenu imenishinda nirudi kwetu mtwara nilime korosho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] pamba imekukimbiza?
 
Nenda Tabora Dc aje Manyara,Kilimanjaro.Idara. nisekondari
 
Njoo LUSHOTO TANGA nije
moshi manispaa,
moshi vijijin,
Rombo,
Hai,
Arusha,
Karatu,
Meru na
Mwanga.
Idara msingi. Namba vd.0765866766 TIGO no 0655372268
 
NJOO MOROGORO ULANGA NIJE PWANI SHULE IPO KARIBU NA IFAKARA MJINI 716171114/0767292827 SEKONDARI
 
Ivi uhamisho bado upo? Maana kila nikienda halmashauri wakaniambia umesitishwa na haijulikani lini utafunguliwa, kwa kweli inauma Sana maana siko sawa kisaikolojia hapa nilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…