WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
habari wadau mke wangu anataka mtu wa kubadilishana nae yeye yupo halmashauri ya kisarawe mkoa wa pwani anataka aje mbeya wilaya ya mbarali aliyetayar anicheki inbox
 
mke wangu anatafuta mtu wa kubadilisha kituo cha kazi anafundisha shule ya msingi wilaya ya kisarawe mkoa wa pwani anataka aje mbeya wilaya ya mbarali aliye tayari aniinbox
 
wadau habari mke wangu yupo halmashauri ya kisarawe mkoani pwani mwalimu wa msingi anataka wa kubadilishana nae kituo aje mbeya mbarali aliye tayri tuwasiliane
 
mke wangu yupo halmashauri ya kisarawe elimu ya msingi wakubadilisha nae anatafuta aje mbeya halmashauri ya mbarali
 
Nipo Sumbwanga Manispaa nahitaji kwenda Njombe, makambako, mafinga au pwan mwenye uhitaji kama wa kuja huku tuongee
 
Hatua yakubadilishana vituo mpaka sasa ndiyo njia pekee yakusaidiana ndugu watumishi wenzangu. Hii nikwamujibu wa s/kali yetu. Hivyo basi tusaidiane inapobidi! Elimu sekondari njoo Kagera- misenyi nije Ilemela/Nyamagana-Mwanza. nakuombeni saana atakayekuwa tiyari nitafute 0763275320. Ahsanteni. Matatizo hawakuumbia wanyama nakuombeni mnisaidie!
 
Anataka kuja sumbawanga manispaa kutoka kokote kule aseme, nikiridhika tutabafilishana, awe sekondar
 
Back
Top Bottom