ISSA SEIF ISSA
New Member
- Jul 2, 2017
- 4
- 0
habari wadau mke wangu anataka mtu wa kubadilishana nae yeye yupo halmashauri ya kisarawe mkoa wa pwani anataka aje mbeya wilaya ya mbarali aliyetayar anicheki inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka unaleta utani wa ngumi,watu tushavurugwa humu uhamisho haueleweki.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Njoo Kibiti, mi nije popote pale !!
Tuwasiliane PMNipo Sumbwanga Manispaa nahitaji kwenda Njombe, makambako, mafinga au pwan mwenye uhitaji kama wa kuja huku tuongee
Aisee habari nimekuja pm kwa ajili kujadili kubadilishanaTuwasiliane PM
Uje pm naona mm nikipost inagomaAisee habari nimekuja pm kwa ajili kujadili kubadilishana
Njoo pm wewe, kwako nikipost inagoma mkuuTuwasiliane PM
Njoo Tabora - Uyui;
Nije Katavi idara ya Msingi,
+255767-145922
+255786-145922
Njoo Tabora - Uyui;
Nije Katavi idara ya Msingi,
+255767-145922
+255786-145922
Ungekuwa msingi mm Nipo tayariNjoo Tanga jiji nije chalinze:sec 0713142568
Njoo Chalinze NIJE Tanga jiji IDARA Msingingoja tuvute subra labda watapatikana.