Watumishi wa umma habari za jioni

Napenda kuwapa taarifa kwamba kesho, nitatoa upadates kuhusu uhamisho kwa wale walio omba kabla ya uhakiki na baada au nini unapaswa ufanye ili uhame zidi kufuatilia kuanzia saa sita mchana tarehe 2_8_2017.
 
Watumishi wa umma habari za jioni

Napenda kuwapa taarifa kwamba kesho, nitatoa upadates kuhusu uhamisho kwa wale walio omba kabla ya uhakiki na baada au nini unapaswa ufanye ili uhame zidi kufuatilia kuanzia saa sita mchana tarehe 2_8_2017.
Mkuu Fanya Hivyo maana watumishi hawa wanalalamika sana
 
 
Njoo singida vijijin nije kilimanjaro wilaya yoyote ile. Idara Sekondari, 0684 274 398 au 0757409740
 
UHAMISHO TAMISEMI UPDATES

NIkwamba kwa wale walio omba kabla ya uhakiki wanapaswa kuomba upya, yaani kufanya mchakato upya

Hakuna majina yoyote yanayosubiriwa kutolewa kwa waombaji wa nyuma,

Vibali vya uhamisho vinatolewa kwa waombaji baada ya uhakiki.

Barua zinapokelewa kwa njia ya EMS, REGISTER NA MKONONI,
Barua inatumwa/kupelekwa na mwombaji wenyewe baada ya kusainiwa na katibu tawala mkoa
Nadhnani mmeelewa
 
Umeeleweka
 
Habari zenu wanajukwaa,Njoo mbozi songwe nije Rungwe au kyela mbeya.[HASHTAG]#0762950879[/HASHTAG]
Elimu secondary
 
Kuna ndugu yangu yupo wilaya ya Nyasa anataka aje wilaya ya Rungwe,busokelo au kyela.[HASHTAG]#0762950879[/HASHTAG] elimu msingi
 
Kiongozi hii inamaanisha kwa sisi ambao mchakato unaendelea kwa mkurugenzi unasubiri uhakiki upite au laa? Nauliza hivi kwa sababu mimi nimeshapata nafasi halmashauri ninayotaka kuhamia lakini nilipopeleka barua kwenye halmashauri yangu nilipo sasa nikaambiwa barua haitashuhulikiwa kwa sasa hadi vibali vitakapotolewa tamisemi. kwa maelezo yako hapo juu inaonekana wao wa halmashauri wanaweza kuandika tu barua ya kuomba kibali kwa katibu tawala na barua ikaenda kusubiria kibali Tamisemi. Tafadhali nielimishe zaidi isije ikawa halmashauri yangu inanicheleweshea uhamisho wangu.

Asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…