petrocaptain
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 211
- 122
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kitakachokuwa kinakushangaza ni pale unaona mwenzako wanahamaMkuu japo siwezi kupinga taarifa yako Ila kote hakuna taarifa za uhamisho kuwa unaendelea kama kawaida.
Ndio maana Wakurugenzi hawapitishi barua yeyote Wala huko TAMISEMI hawapokei barua na kufanyia kazi uhamisho kwa sasa.
Tusiwape matumaini ambayo hayapo kwa walimu.Uhamisho ukirudi kama kawaida itajulikana kwa watu wote
Upo IDARA gani? Kama upo sekondari nicheckAnahitaji kuja mwanga mkoa WA kilimanjaro mm niende mwanza wilaya yeyote an pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo iringa ni pmIdara elimu secondary nipo sumbawanga mjini, uko wapi tubadilishane?
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Njoo iringaAnataka kuja sumbawanga manispaa kutoka kokote kule aseme, nikiridhika tutabafilishana, awe sekondar