WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Sawa ila
Mkuu japo siwezi kupinga taarifa yako Ila kote hakuna taarifa za uhamisho kuwa unaendelea kama kawaida.

Ndio maana Wakurugenzi hawapitishi barua yeyote Wala huko TAMISEMI hawapokei barua na kufanyia kazi uhamisho kwa sasa.

Tusiwape matumaini ambayo hayapo kwa walimu.Uhamisho ukirudi kama kawaida itajulikana kwa watu wote
Sawa kitakachokuwa kinakushangaza ni pale unaona mwenzako wanahama
 
Njoo Kigoma
Nakuachia biashara. Mtaji no wako nlishatengenexa Wateja kwa mwexi hutakosa 20k na kwa siku hukosi 3000
Mm natska niende moshi au arusha
0764616353 idara sec. Miaka 5 kazin kila kitu nnacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njoo tabora urambo nije kati ya mukoa ya dodma,morogoro,pwani au dar es salaam. Wilaya yoyote katika mikoa hiyo. Idara ya sekondari. Nichek 0652583409
 
Back
Top Bottom