Vip huko rungwe hakuna wa kuja mwanza tubafilishaneRungwe(kiwira) mwalimu njooo,mi Nije mbeya jiji,mbeya vijijin na wilaya ya mbozi kwa mkoa wa songwe-idara sec - 0765432283
Njoo Tabora nije SumbawangaNatafuta wa kubadlishana naye mm nipo Manispaa ya sumbawanga natafuta MTU wa kubalishana naye hapo Itigi singida ni mwalimu s/m
Yup huyohivi wew kila sehemu upo mana nshakuona hii mara ya tano cjui upo wapi wew
Sent using Jamii Forums mobile app