Sidhan sana juu nadharia hiyo but wengine huku ndo kwao en sometimes may be trueUkipata wa kuja huko ujue huko atokako ana bonge la msala
Njoo mwanga Mjini Karibu na moshi kwa niaba nauli 2000 yaanMimi ni mwalimu wa sekondari nipo cwilaya ya Chalinze mkoa wa pwani aliyeko Moshi mjini tubadilishane..
namba zangu ni : 0782129737
Njoo mwanga, vudoi Sekondari utakuwa umesogea Karibu na moshi mjini nauli 2000 usafiri anytime also ni easy kuhama ndani ya mkoa mmoja yaan from one halmashauri to another kama upo tayari mcheki 0652023033Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo cwilaya ya Chalinze mkoa wa pwani aliyeko Moshi mjini tubadilishane..
namba zangu ni : 0782129737
Njoo Tabora - Uyui;
Nije Katavi idara ya Msingi,
+255767-145922
+255786-145922