WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo cwilaya ya Chalinze mkoa wa pwani aliyeko Moshi mjini tubadilishane..
namba zangu ni : 0782129737
 
Njoo Lushoto Tanga nije

* Korogwe
* Hai Kilimajaro
* Same
* Mwanga
* Moshi v
* Rombo
* Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353, 0684668425

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo cwilaya ya Chalinze mkoa wa pwani aliyeko Moshi mjini tubadilishane..
namba zangu ni : 0782129737
Njoo mwanga, vudoi Sekondari utakuwa umesogea Karibu na moshi mjini nauli 2000 usafiri anytime also ni easy kuhama ndani ya mkoa mmoja yaan from one halmashauri to another kama upo tayari mcheki 0652023033
 
Njoo Tunduru Ruvuma aje Njombe, iringa, mbeya idara msingi.please inbox km upo tayark
 
Njoo Lushoto Tanga nije

* Korogwe
* Hai Kilimajaro
* Same
* Mwanga
* Moshi v
* Rombo
* Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353,

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mods kueni fair ! Kwanin mmeweka thread kwa ajili ya walimu tu,wakat watumishi wa idara zote tunahitaji kupata huduma ya kubadilishana vituo vya kazi. Jamiiforums ndio makutano yawengi
 
Njoo Lushoto Tanga nije

* Korogwe
* Hai Kilimajaro
* Same
* Mwanga
* Moshi v
* Rombo
* Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353,

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mwl wa sekondari tubadilishane njoo kyela mjini(Mbeya) mi nije Manispaa ya Morogoro au Mvumero. Napatikana kwa 0765602557
 
Njoo tabora manispaa
Nije:
Morogoro manispaa
Kibaha
Kisarawe
Idara:sekondari
Kwa mawasiliano niPM twende sawa
 
Back
Top Bottom