Nitafutie huko kyela anayetaka aje mboz idara sec nami ntakuunganisha kuna jamaaa yuko moro anataka kurudi rungwe so ntamshawishi aje kyelaMwl wa sekondari tubadilishane njoo kyela mjini(Mbeya) mi nije Manispaa ya Morogoro au Mvumero. Napatikana kwa 0765602557
Niunganishie wa rungwe to mboz nami ntafight kukuunganishia hata kwenye magroupNjoo mbeya rungwe nije tanga idara mcng no 0719678528
Mkuu niunganishe na mtu anayetaka kuja mbozi nije rungwe 0762950879Njoo Rungwe (Kiwira to Mbeya 40 nauli 2000) Nije Mkoa wa pwani wilaya yeyote.
idara ya msingi.
Kuna mwl wa sec yupo kinondoni,anahitaji kwendatmwanza halmashauri tajwaFafanua vizuri anahitaji mtu wa aina gani toka mwanza ?
Kama hujaeleweka hivi.
Nina jamaa yupo kinondoni,idara sec,anataka kuja huko nichek kwa 0718317773Wakuu,kuna mdau yupo nyamagana anahitaji kuja kinondoni kama kuna anaehitaji chance hiyo aniPm niwaunganishe!
KUMBE WEWE MWALIMU HONGERAKwa anaetaka kuja sengerema mkoa wa
mwanza kutoka Tanga, Pwani,au
Morogoro idara ya msingi tuwasiliane.
Hakika ungekuwa Idara ya sec,ungenipata mkuu,kama vipi ukimpata wa sec anayetaka kuja tanga nijulishe.Mwalimu Damas Jackson natafuta MWL wa kubadilisha nae kituo .Aje Busega Simiyu mimi nije Babati, Tanga(wilaya yoyote) No:0768746977 elimu msingi
Duh we jamaa humpati tu,daily una post ni mwezi sasaKaribu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha
Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
bado ndugu naendelea kutafuta naamini ntapata tuDuh we jamaa humpati tu,daily una post ni mwezi sasa