kuntamanyangwi
Member
- Apr 24, 2017
- 95
- 70
Njoo Kilimanjaro nije
1 .moro
2. Sumbawanga mjin
Idara secondary. 0765359154/0676359154
1 .moro
2. Sumbawanga mjin
Idara secondary. 0765359154/0676359154
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigamboni mkuu?Natafuta mwl wa kubadilishana nae aje kinondoni mi niende ubungo,temeke au ilala.Idara sekondari
asante ndugu kwa ushauriNende kwingine ila Lindi utasumbuka sana kwenye huduma za jamii
wewe kijana utakua mchocheziAtom nimekukubali kwa kusaka wa kubadilishana nao
Mwalimu Damas Jackson natafuta MWL wa kubadilisha nae kituo .Aje Busega Simiyu mimi nije Babati, Tanga(wilaya yoyote) No:0768746977 elimu msingi
Tangazo kutoka kwa mdogo wangu
Natafuta MWL Wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje halmashauri ya Wilaya Muleba nami niende kati ya Wilaya ya Kibondo au Kakonko mkoa Wa Kigoma. Kama uko tayari wasiliana nami na kama una ndg anahitaji kufanya hivyo mtalifu.
Wasiliana nami kwa namba 0713914633
Njoo Kakonko MWL tuanze mchakato ...nicheki kwa 0753533877 au 0626890702Tangazo kutoka kwa mdogo wangu
Natafuta MWL Wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje halmashauri ya Wilaya Muleba nami niende kati ya Wilaya ya Kibondo au Kakonko mkoa Wa Kigoma. Kama uko tayari wasiliana nami na kama una ndg anahitaji kufanya hivyo mtalifu.
Wasiliana nami kwa namba 0713914633
Njoo Kakonko - kigoma MWLNjoo mwanga kilimanjaro nije Kasulu TC
Njoo kigoma MWL sikumbuka kaya vidala nine HandeniHabari zenu Wadau!
Niko Handeni - Tanga, idara ya Sekondari.
Shule iko barabara kuu ya kwenda Korogwe (Nauli ya kwenda Korogwe ni Tsh.2,500/= (na muda wa kufika Korogwe ni nusu saa). Pia ukitaka kwenda Dar nauli ni Tsh.12,000/= kutoka Shule ilipo kwa muda masaa matano tu unawasili Ubungo..... Ziko gari za saa kumi na mbili asubuhi kwenda Dar, Saa mbili, Saa nne, saa sita na saa tisa.
NJia ni Lami tu hakuna vumbi ukitaka kufanya Shughuli zako za kiofisi.
Natafuta mtu wa kubadilishana naye aje Handeni mimi niende Wilaya ya Mbozi , Mkoa wa Songwe, Idara Sekondari na Masomo yangu ni English na Kiswahili.
Kwa anayemjua mwenye hitajio hili anifuate In box ...............
Njoo kigoma MWL if it's okay ni pmNjoo pangani Tanga nije mtwara,morogoro,pwani
Idara sekondari